Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wale wenzangu na mimi wenye visigino vyenye magaga tunacomment wapi?
Anyways,
Ingekuwa vyema mngemalizia na tips za kusafisha miguu.. kusemana pekeyake hakutoshi.
Wale wenzangu na mimi wa low budget
Changanya asali na sukari,
Weka chumvi kwenye maji ya vuguvugu,,weka sabuni kiasi
Loweka mikono na miguu, 15min
Sugua miguu vzr taratibu,
Chukua scrub yako, jiscrub taratibu,,
Ukimaliza osha vizuri miguu na mikono
Chukua parachute, paka,
Vaa socks
Usijichubue, Black is beautiful [emoji7]