Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ule uzi wako kitambo sanaNahisi nilishawahi kuandika hili pia
Kama siyo huku sijui nj wapi unamkuta mdada mrembo usoni ila miguu Jamani[emoji119]
Kuna na hivi Vipako wanapaka miguuni Kama ndizi choma
Wewe mguu wako naujua hauna magaga. Kamguu kazuuuri.Ngoja mi niweke ila ina magaga [emoji2301][emoji2301]
Unao usibishe halaf mlojo yaan acha tu nimecheka hapo wanataniana miguuWewe mguu wako naujua hauna magaga. Kamguu kazuuuri.
Kuna siku ulishauweka ni mzuri afu mweupee. Kama unabisha weka tuoneUnao usibishe halaf mlojo yaan acha tu nimecheka hapo wanataniana miguu
😂😂😂 hata sikumbukiKuna siku ulishauweka ni mzuri afu mweupee. Kama unabisha weka tuone
Hebu tuone[emoji23][emoji23][emoji23] hata sikumbuki
Ni ya kawaida tu
Mwanamke akivaa Raba nampenda zaidi sio kuvaa tusandal anaonekana kama punguaniSendoz uvae huna mizunguko ya kwenye mavumbi, na usiburuze miguu ukitembea,
Mimi navaa Raba na Boots ndio nimejaza ndani, Sendoz huvaa nikiwa na mizunguko mifupi sababu sijui kutembelea sendoz pia natembea haraka haraka,
High heels navaa kwenye special Occasions tu.
Jack Palladino mnunulie Lenie hiiView attachment 2540238
Mzigo wangu huu hapa weekend najimaliza mwenyewe
Wanunulieni mababy zenu @10,000 tu
Picha ya mossimo plzHiyo sio mossimo
Wewe mguu wako naujua hauna magaga. Kamguu kazuuuri.
Long time msukumaYani kuna mtu kakaa anawaangalia watu baki visigino tu 🙂🙂🙂
Huyu kukiwa na kazi inahitaji watu wenye "attention to detail" inabidi apewe tu.
Amepata😊🥂
Check mpesa yako!😊🥂
Yeey🥰Check mpesa yako!😊🥂
Wewe umenikimbia siku hizi.