Ha ha ha! Mke mwenza kwa mkwara nakuaminia...eti tape measure haina namba....khaMuambie huyo! Akiona vyaelea ajue vimening'inizwa atii! PAW atamlima ban jf, mbinguni na duniani hadi akhera! Sijui ataenda wapi na tape measure yake isiyo na namba!
Ha ha ha! Mke mwenza kwa mkwara nakuaminia...eti tape measure haina namba....kha
Mke mwenza taratibu basi jamani khaa! Wajua fika mie na wanaume wafupi mbali mbali...nitonye alivo mfupi mie ntampeleka wapi? Afu nimemdanganya wifi kuwa nimemnunia kakake ili nione kama atafurahia au vipi! Mawifi hawaaminiki bana( huoni katoa siri ya handbag lol)...wewe wajua nnavompenda kakake AD ntaweza kweli kumnunia?Afu unamnunia shem, unaenda kwa nitonye ili akutonye! Nitonye mwenyewe ni toinyo tu,kha!
Hehehe! Ngoja ntakagua nione kama zipo.Asikutishe huyo namba zote zinasomeka hakuna hata moja iliyofutika utajionea mwenyewe
Tuchokoze uone utakavyolimwa seva ban!Hahahaaa mwanamke jocho bibi eeh, haloo, hasa ukijua kulitumia.....
Mambo gani ya kupeana masharati unaogopa ntamnyakua PAW? Akhaa bibi mi menyewe festilady wa ikulu ya bariadi, Hydom yako tu usiwe na shaka ....lolest!
Halafu kumbe wewe na SL waume zenu ni mamods eeh, afu kuzaliwa sikujuaga Cookie ni HE....khaa!
Kama haina numerali hiyo ni sawa na kudu, itafaa kwa maguniaHa ha ha! Mke mwenza kwa mkwara nakuaminia...eti tape measure haina namba....kha
Hawawezi,..lol! Wangu mwenyewe anawalaza macho ho wenu! Seva ban kitu gani, watu tuna JF yetu nyumbani bana!Tuchokoze uone utakavyolimwa seva ban!
Mmh ama kweli siku ya kurudi Mesaya, watakuwepo wanawake wawili wakisaga, mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa....Mie ngoja niondoke humu manake nikipigwa ban nyumbani pia itakuwa balaa! Wifi, karibia lunch, SL atakutonya menu! Iweni na siku salama, mtoa mada akinitafuta anichumbie muambieni I am unbeepable
Hehehe! Ngoja ntakagua nione kama zipo.
Sema suuuuu nireport abuse!...Hawawezi,..lol! Wangu mwenyewe anawalaza macho ho wenu! Seva ban kitu gani, watu tuna JF yetu nyumbani bana!
Ha ha ha! Huyo aliyeachwa alikuwa anamtegea mwenzie kwenye kusaga....lol.Mmh ama kweli siku ya kurudi Mesaya, watakuwepo wanawake wawili wakisaga, mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa....
Nshatema na mate chini, harakisha kabla hayajakauka basi....Sema suuuuu nireport abuse!...
Hahahaaaa hamna atakua hajui kusaga kwenye mawe banaHa ha ha! Huyo aliyeachwa alikuwa anamtegea mwenzie kwenye kusaga....lol.
Lol...ngoja nichore mstari, ukiuruka tu umekwisha!Nshatema na mate chini, harakisha kabla hayajakauka basi....
ila kaa ukijua wengi humu ni MANUNG'AYEMBE
sema kabisa unamtaka nani usije ukampenda demu wangu bure. Nalog off
ila kaa ukijua wengi humu ni MANUNG'AYEMBE