Wadada wa Iran wametuzidi akili Watanzania?

hehe Wenyewe kwa Wenyewe tu hatupendani, Ubinafsi kama wote ndo sembuse kushikamana
 
Watanzania waoga kama fisi anayesubiri simba auwe yeye achukue mizoga.
 
Watanzania waoga kama fisi anayesubiri simba auwe yeye achukue mizoga.

Taratibu mh Fisi si mwoga kama tulivyosimuliwa na wahenga.

Kwa taarifa yako Fisi anampokonya kitowewo Chui ndio maana upandisha mlo wake juu ya mti kuepuka heka heka za Fisi.

Simba jike hata wakiwa wawili au watatu Fisi uwapora mzigo bila wasiwasi.

Fisi ni mmoja wa wanyama mashujaa sana katika mapori mengi.
 
Ubaya wa hayo maandano hupelekea machafuko na baada ya hapo nchi haitawaliki tena
 
Halafu watalaumiwa waandamanaji na Wamarekani badala ya Ayatollah na askari wake wanaoitwa wa maadili.
Ubaya wa hayo maandano hupelekea machafuko na baada ya hapo nchi haitawaliki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…