Kaandamane wewe na ukoo wakoInakuwaje wadada wameongoza maandamano kwenye nchi yenye sheria, msimamo mkali?
Imekuwaje hadi sasa wameendelea na hayo maandamano bila kujali nani atakufa au madhara gani yatatokea?
Je, kupitia maandamano wataweza fanikisha lengo lao?
Watanzania twashindwa nini?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app