Wadada wa Iran wametuzidi akili Watanzania?

Kaandamane wewe na ukoo wako
 
Tz mambo mengi hayaendi Sawa Tena viongozi wanatukandamiza wazwaz tulipaswa tuwe barabaran kulaani hili.
 
Bongo watawala wamejisahau lakini siku watu wakiamua kitaeleweka tuu, imagine wananchi milioni moja bila hata silaha wanaizunguka ikulu kwa week nzima kutaka Raisi ajiuzuru, utaua wangapi ? nakuhakikishia hakuna polisi wala mwanajeshi atajaribu kupiga mtu na Raisi atakimbia tuu, hakuna kitu kina nguvu kama maandamano
 
Unaota itakua usisahau kuna JESHI ndio maana Rais ni Amri Jeshi Mkuu huwezi ukaingia Ikulu km unavyoingia kwenye banda lako la Kuku
 
Unaota itakua usisahau kuna JESHI ndio maana Rais ni Amri Jeshi Mkuu huwezi ukaingia Ikulu km unavyoingia kwenye banda lako la Kuku
Jeshi hawawezi kuchukua amri kama hiyo ya kuzima maandamano, Jeshi hawaingiliagi maandamano ya wananchi wa ndani ,kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi, jeshi litakaa pembeni na linaweza kuingilia kwa kuona Raisi kashindwa kuongoza sio kuzima maandamano
 
Hivi unafikiri Usalama wa Taifa ni nani au bado unaota?

Jibu: JESHI

Umewahi angalia ziara za Rais wale wanaomlinda pembeni na yeye wanakua ni akina nani?

Jibu: JESHI

Fanya fyoko km hujabokolewa nao hujui unachokiandika

Si unasema hua hawaingilii sasa fanya fyoko umzingue Rais wa Nchi mbele yao hivi wao wakiwa wanakuona unazingua alafu uone km hawajakubokoa na kukupeleka kuzimu fasta

Unaelewa unachokiandika lakini?
 
Hujui unachoandika go educate yourself acha kutumia hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…