Na aliyekwambia hatujaolewa ni nani? Hahaa kwani wewe wawajua wangapi humu? Tatizo watu mnaingia humu with a lot of fantansies. Wacheni kushobokea avatar, yatawatokea puani. My advise, msipende mahusiano ya gizani, mtu humjui utaishia kufanya trial and error.