Wadada wa Jf are you real serious kwenye mahusiano????????

Wadada wa Jf are you real serious kwenye mahusiano????????

Ndugu, huijui JF au? Kabla hujaanza kuwauliza wenzako kama wako serious, jiulize na wewe mwenyewe kwanza kama you are also serious?


ndugu yang Mpita Njia tambu kuwa jimekuwa wazi toka mwanzo kuwa nipo serious na ndio maana siajataka kujitangaza kuwa nia umri gani au ninapata kipato gani au nina urefu gani au ni mweusi au ni mweupe au maji ya kunde ila niliweka wazi kuwa aliye tayari tukutne faragha kwa hiyo usinihukumu kwa hila...

Ila pia ni sehemu ya nilitakalo kulijua kutoka kwako..asante kwa coment yako
 
Last edited by a moderator:
hivi serious inaanzia ngapi?
Maana sijui vizuri.

Bishanga, watu kutembea na vaseline inakuhu? Utapakwa, shaurilo!

ndugu yangu inaanzia moyoni.. na kwenye muono wako kwa kuwa huwezi kutafisri serious kupitia maono ya mwenzio..

ila nashukuru kwa wazo lako naswali lako pia.
 
Kweli ukifuatailia michango ilyo mingi ni kama vile muanzilishi anataka kuwachanga watu na kuchezea mind za watu kwa kuwa ukiangalia yeye mwenyewe anavyokuwa akirespond haonyeshi uhakiki wa hitaji lake.
Mshuwa, hapo kwenye bold, labda ueleze kinagaubaga je unataka mtu akirespond awe anarespond vipi?? Kwanza; Kumbuka kuwa mtu anatumia keyboard ya comp au keypad ya simu ama unataka akireposnd aanzE DARLING, SWEET, HONEY au akiongea awe anayatumia hayo maneno? Pili; Kumbuka kuwa mtafutaji na mtafutwaji wote wana majukumu either ya kikazi ama kibiashara anaweza kuwa busy na kazi ama biashara mpaka akakosa muda wa kurespond message husika sasa kama utaona amekuwa kimya jua kuna vitu vinachangia akawa hivyo!




mfano nilianzisha mada moja humu which was real serious lakini out of milions ya ladies ni wachache tu waliorespond na wengine hata nilivyokuwa kwenye PM walikimbilia kuuliza kabila hata kuna mmoja nilibaraza baada ya kusema kuwa hivi umesema wewe ni kabila fulani eti wewe umesema uko wapi na unafanya kazi kama nani....Totaly it was disappointing comments ambazo sikuzitegemea.
Hapo kwenye red: lazima mtafutaji au mtafutaji ajue mwenzie anafanya nini je kama ni “deiwaka watamudu maisha vipi, kuhusu kabila lazima ujue unataka kwenye kwenye tamaduni zipi ili ufatilie tamaduni zao, kuna tamaduni ambazo baadhi ya maneno au matendo ni matusi kwa tamaduni zingine so ni lazima ujue kabila. Mf. Mimi sipendelei kabila flani huko kusini sasa naweza kuanza kuuliza kabila ili nisije nikaji-commit afu nianza kujuta ama kupoteza muda.



Asante mkuu!!!!!!!

charmingirl mpenzi wangu nashukuru kwa coment zako ila sijataka mtu aniaiite hayo huyasema yo ila kama unaweza kumtambuwa mtu tabia yake ni kwenye majibu yake anayoyato..ila nashukuru mpendwa wangu wa coment yako...


charmingirl mwana wa nyumbani sijakaata kuwa uko na kazi lakini kuwa na kazi siyo kigezo cha kumjibu usiye mjibu maneno yasiyo faa ila tambu lolote ulisemalo linakuonyesha ww ni mtu wa namna gani...
nashukuru kwa ujumbe wako..kwa hiyo namshukuru mungu kwa kulewa yote yasamayo kweny k board za watu
 
asante kwa kunielewa na kunielewesha. Mungu akupe sawasawa na hitaji lako. be blessed n all the best!
 
Lol, tunahitaji vyote, fedha,kazi, Kabila Na mengine mengiiiiiii
 
ana bahati pia hajakutana na mimi angejuta, swali la kwanza, una gari, sina, mchezo ungeishia hapo, ukisema ndio, swali la pili height na complexion, ukisema kibushuti na light, biashara kwishnei pamoja na gari lako.....ungejuta wewe...

Sikujui hunijui unafikiri nitauliza nini? Tena bahati yako hujakutana na mimi maana nauliza mpaka cheti cha VVU sorry HIV test na kimo chako maana short chases sishobokei, shogaangu yeye anataka mpaka rangi na je umekaanga meno au mambo ya whitedent YES....Lol

Tatizo lenu wanaume mnafikiri sisi wanawake hatuchagui, na wasiochagua ndo mkiwapata ndani hawakai
 
am still looking but my condition u hav to be btn 50-60.....xoxo
 
ana bahati pia hajakutana na mimi angejuta, swali la kwanza, una gari, sina, mchezo ungeishia hapo, ukisema ndio, swali la pili height na complexion, ukisema kibushuti na light, biashara kwishnei pamoja na gari lako.....ungejuta wewe...

wala nisingejuta kukana na wewe ila tambua yote hayo yanakuja na kuondoka lakini fahamu kuwa vyote hivyo uvitajavyapo huwa vinabadilika kila kukicha kwa hiyo usione kuwa ungecomplicate zaidi ungejiweka wazi kuwa nini kitu gani unafikiria kuwa nacho katika maisha yako na pindi kama ukivikuta vikaondoka na ww huondoka.
Watu wa aina yenu ndio mnakuwa wepesi kupatika na watu wanaoazima magari ambao wako wengi siku.......

Ila nashukuru kwa mchango wako
 
baada ya kujibu post za wadau napenda kusema asanteni wote kwa michango yenu na nawatakia alhamis njema
 
Mshuwa bana u always make me laugh kwa post zako. ila big up sana unajibu kwa hekima, cjui we ndo mrith wa mfalme Suleiman? uwe na cku njema pia . . .
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu smile nauheshimu sana na ndio maana sikutaka kutekeleza ombi lako kwa kuwa siyo suluhisho la ninachokuta ungeamini vipi kwamba picha nikutumiayo siyo ya mtu mwingine wakati hata avater yako umeweka ya mtu mwingine?kwa hiyo ndi maana nilikuwa nasema kwa yeyote alielewa ninachokisema tukutane chemba ili tuongee yale anayoyataka niyaseme kwake?.

ila nashukuru kwa ujumbe wako
mimi hii avatar ni picha yangu kabisa mkuu....
 
Back
Top Bottom