Kweli ukifuatailia michango ilyo mingi ni kama vile muanzilishi anataka kuwachanga watu na kuchezea mind za watu kwa kuwa ukiangalia yeye mwenyewe anavyokuwa akirespond haonyeshi uhakiki wa hitaji lake.
Mshuwa, hapo kwenye bold, labda ueleze kinagaubaga je unataka mtu akirespond awe anarespond vipi?? Kwanza; Kumbuka kuwa mtu anatumia keyboard ya comp au keypad ya simu ama unataka akireposnd aanzE DARLING, SWEET, HONEY au akiongea awe anayatumia hayo maneno? Pili; Kumbuka kuwa mtafutaji na mtafutwaji wote wana majukumu either ya kikazi ama kibiashara anaweza kuwa busy na kazi ama biashara mpaka akakosa muda wa kurespond message husika sasa kama utaona amekuwa kimya jua kuna vitu vinachangia akawa hivyo!
mfano nilianzisha mada moja humu which was real serious lakini out of milions ya ladies ni wachache tu waliorespond na wengine hata nilivyokuwa kwenye PM walikimbilia kuuliza kabila hata kuna mmoja nilibaraza baada ya kusema kuwa hivi umesema wewe ni kabila fulani eti wewe umesema uko wapi na unafanya kazi kama nani....Totaly it was disappointing comments ambazo sikuzitegemea.
Hapo kwenye red: lazima mtafutaji au mtafutaji ajue mwenzie anafanya nini je kama ni deiwaka watamudu maisha vipi, kuhusu kabila lazima ujue unataka kwenye kwenye tamaduni zipi ili ufatilie tamaduni zao, kuna tamaduni ambazo baadhi ya maneno au matendo ni matusi kwa tamaduni zingine so ni lazima ujue kabila. Mf. Mimi sipendelei kabila flani huko kusini sasa naweza kuanza kuuliza kabila ili nisije nikaji-commit afu nianza kujuta ama kupoteza muda.
Asante mkuu!!!!!!!