Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaMtani sijawahi waza hiyo kitu hivyo hata hicho kipimo sina.
We unapimaje?Mmh. Aiseee!
[emoji124] [emoji124]
Vipi? kwani wewe hupimi shafti!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We unapimaje?
Baada ya miaka kadhaa utakuja na post
"Mimi ni mwanamke wa miaka 30 na kitu na nina watoto wawili(usiulize baba ZAO wako wapi) . Natafuta mwanaume anaejielewa tuishi pamoja awe na sifa zozote zile me ntamvumilia hata awe binamu ake shetani . Kama uko tayari njoo pm
Za siku mama?Na mbinu za kuwa better mothers, sisters and wives mupeane pia.
Sio munaishia kuonjwa onjwa na hivi munavyoanza kuvishika vichochoroni.
Aisee, munawaonaga wanaume mafala sana. Subirini kama watatuheshimu huko mbele ya safari.
Wewe ni wa lumumba siyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mtoa uzi nae c ni mwanamkeBest na wewe umeamini. Nadhani mtoa uzi hajajua vizuri jf ina wanawake wa aina gani.
Usichukulie mambo serious hivyo utazeeka siku sio zako we mama, kila siku humu si tunapeana hizo mbinu!!!Na mbinu za kuwa better mothers, sisters and wives mupeane pia.
Sio munaishia kuonjwa onjwa na hivi munavyoanza kuvishika vichochoroni.
Aisee, munawaonaga wanaume mafala sana. Subirini kama watatuheshimu huko mbele ya safari.