Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Mm ukinipima hivyo umeumia kwani sidindishi mazingira yasiyo salama hofu moyoni+ respect na ukisema twende somewhere private umeliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol. Aisee.Usichukulie mambo serious hivyo utazeeka siku sio zako we mama, kila siku humu si tunapeana hizo mbinu!!!
Hizi mbinu nazo muhimu ati, we ulishavuka kuonjwa acha wenzio wajipimie size zao kabla hawajakimbia.
Safi. Mzima weye?Za siku mama?
Umepotea mkuu.Safi. Mzima weye?
Nipo aiseeUmepotea mkuu.
Nlivyoona kimya nikajua OS ashafanya vitu vyake watatu sasa. HahahaaNipo aisee
Lol. Aisee.
Anyway, sijamshikiaga yeyote mtutu.... ushauri wangu unakuwaga genuine kulingana na experience yangu, what I would do if I were you na huwa ushauri unaambatanishwa na silent blessings sent your way.
P/s
Kuonjwa onjwa sio dili young lady.
Hahahaaaaa.Mmh kumbe unapima kwa hatua!
Ukitaka kujua kutumbua cha mwanamke unaemtokea kipoje angalia pua yake. mwanamke mwenye pua nyembamba na refu huyo kitumbua chake kinahita microscope. Mwanamke mwenye pua pana huyo ana mzigo kama suitcase
Bora babu umesema asante..!Mmeanza kufundishana umalaya...
Ngoja mi niende mlimani kuwaombea...
Clever Karucee..! Love youuyuuu..Na mbinu za kuwa better mothers, sisters and wives mupeane pia.
Sio munaishia kuonjwa onjwa na hivi munavyoanza kuvishika vichochoroni.
Aisee, munawaonaga wanaume mafala sana. Subirini kama watatuheshimu huko mbele ya safari.
Siku moja uje ufungue darasa ukishirikiana wewe na Helo, muwafunze hawa members wenzenu wa kike humu ndani wengi akili zao zimecheza kama maji ya madafu kwenye kifuuNa mbinu za kuwa better mothers, sisters and wives mupeane pia.
Sio munaishia kuonjwa onjwa na hivi munavyoanza kuvishika vichochoroni.
Aisee, munawaonaga wanaume mafala sana. Subirini kama watatuheshimu huko mbele ya safari.
Tatizo ni kwamba .... wamenisikia??Bora babu umesema asante..!
Amina..!Tatizo ni kwamba .... wamenisikia??
Dawa yao ni kuwaombea tu...
Pepo la ngono liwatoke.