Wadada wa JF hii ni mbinu ya kutambua Ukubwa wa nyoka ya mwanaume kabla hujaenda kufanya nae tendo la ndoa


Nimecheka sana aisee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Let me indulge you in your licentiously libertine debauchery.

Sisi wanaume tunaovaa viatu vikubwa mara nyingi maumbo yetu ya ndani nayo huwa makubwa.

Ni vigumu kiatu kikubwa (mguu wa chini) kikaendana na maumbo madogo ya mguu wa tatu.
 
Tufundishe na sie vidume jinsi ya kuwapima mabwawa yenu!! Mnaanza ngono mkiwa kwenye teenage afu mkifika kwenye 30yrs mnajifanya eti kupima madushe yetu!!! Tafuteni njia sahihi ya kupambana na hali zenu!!!
 
Duh sasa demiss kwahiyo wewe kabla ya kunanii unaanzaga kwanza kupitisha mkono kwenye boxer ya mwana ume?
 
Na mbinu za kuwa better mothers, sisters and wives mupeane pia.

Sio munaishia kuonjwa onjwa na hivi munavyoanza kuvishika vichochoroni.

Aisee, munawaonaga wanaume mafala sana. Subirini kama watatuheshimu huko mbele ya safari.
Za siku mama?
 
Wakinenepa kale kamjamaa kanasinyaa.
 
Na mbinu za kuwa better mothers, sisters and wives mupeane pia.

Sio munaishia kuonjwa onjwa na hivi munavyoanza kuvishika vichochoroni.

Aisee, munawaonaga wanaume mafala sana. Subirini kama watatuheshimu huko mbele ya safari.
Usichukulie mambo serious hivyo utazeeka siku sio zako we mama, kila siku humu si tunapeana hizo mbinu!!!
Hizi mbinu nazo muhimu ati, we ulishavuka kuonjwa acha wenzio wajipimie size zao kabla hawajakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…