Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Ni kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…