Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Hawa viumbe tumezid kuwaonea je ss wanaume tunaweka za kwetu?kuna baadhi yetu wameweka avatar za magar na hawajui hata kuendesha magar,watu wafanye wajisikiavyo ila wasivunje tu sheria
 



Wewe Jamaa ni mda sana unanichokonoa niongee nakupuuza why?!
Nilifunzwa heshima matumizi ya Id fake hayanifanyi nisiheshimu wengine.
Umeanzisha thread ya kwanza nimekupuuza
Umeanzisha ya pili nimekupuuza
Sasa kila Reply ni muendelezo wa rubii rubii
Kuna watu tunamaisha tunaishi humu jamvini tusiharibiane majina kwasababu ya mambo ya laana tafadhali
"rubii kamlia hela fundi majeneza halafu kamkataa" imekua kama harufu yangu sijafika lakini ipo
Pia huyo ibilisimalayawako mnaokaa kuacha kudiscuss maendeleo ya biashara yenu ikiwemo ubunifu wa design mbalimbali mpya za majeneza busy kumdiscus rubii azae apate shughuli ya kufanya
Tafadhali naomba tabia ya kunihusisha kwenye mambo ya kipuuzi bila ridhaa yangu ikome mara moja.
 
Mbona nawanaume mnaweka sura za ma HB. Ila mimi siwezi kuweka sura yamtu. Kutokujaamini au kutukana watu probably mtu anabadilisha avatar.
 
Naona nahuyu malaya wake ana ka inferiority complex. Badala ya kuzungumzia majeneza wana kudis. Naomba we jama namwezio mniachia ka rubii. Alaf huyu mbona hiyo sura yake rubii. Ukute malaya wako alikuonyesha sura ya mtu mwingini. Fara wewe. Kama biashara mbaya ya majaneza usipunguzie stress zako kwa Rubii mwisho mtamlaum Uncle magu utathani ndo anayezuia vifo. Kwedraaaaa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji36] [emoji36] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji108] [emoji108] Ntacheka had kesho jamaniii kaaaaaH .. Ila yte kw yte "We MBWA" io sio tabia nzur, af acha kupend pend brazza utakurupukia jishoga af ukose pozi
 
Kila mtu ana uhuru wa kuweka sura atakayo kwenye avatar yake
 



Hajakunwa akafikishwa Kileleni huyo ndio maana bado anatapatapa
 


Naona wamekutana wote kichwani umeme mdogo, wanaacha kujadili mambo yao ya maendeleo wanajadili watu wasio na mda na wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…