Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Naendelea Poahahhaha tutakimbizana sijambo dada akee unaendeleaje
Nakumiss tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naendelea Poahahhaha tutakimbizana sijambo dada akee unaendeleaje
Sijambo KakanguMsalimie dada angu please!
miss u too dear unasalimiwa na kaka ako wa hiariNaendelea Poa
Nakumiss tuu
At least muweke picha za wadada mnaokaribiana uzuri walau japo kidogo.Ulitaka watu waweke sura zao hapa?
Ni kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
Naona nahuyu malaya wake ana ka inferiority complex. Badala ya kuzungumzia majeneza wana kudis. Naomba we jama namwezio mniachia ka rubii. Alaf huyu mbona hiyo sura yake rubii. Ukute malaya wako alikuonyesha sura ya mtu mwingini. Fara wewe. Kama biashara mbaya ya majaneza usipunguzie stress zako kwa Rubii mwisho mtamlaum Uncle magu utathani ndo anayezuia vifo. Kwedraaaaa.Wewe Jamaa ni mda sana unanichokonoa niongee nakupuuza why?!
Nilifunzwa heshima matumizi ya Id fake hayanifanyi nisiheshimu wengine.
Umeanzisha thread ya kwanza nimekupuuza
Umeanzisha ya pili nimekupuuza
Sasa kila Reply ni muendelezo wa rubii rubii
Kuna watu tunamaisha tunaishi humu jamvini tusiharibiane majina kwasababu ya mambo ya laana tafadhali
"rubii kamlia hela fundi majeneza halafu kamkataa" imekua kama harufu yangu sijafika lakini ipo
Pia huyo ibilisimalayawako mnaokaa kuacha kudiscuss maendeleo ya biashara yenu ikiwemo ubunifu wa design mbalimbali mpya za majeneza busy kumdiscus rubii azae apate shughuli ya kufanya
Tafadhali naomba tabia ya kunihusisha kwenye mambo ya kipuuzi bila ridhaa yangu ikome mara moja.
[emoji7]Mbona mimi yangu hiyo siwezi kuweka sura ya mtu mwingine wakati mwenyewe sura ninayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji36] [emoji36] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji108] [emoji108] Ntacheka had kesho jamaniii kaaaaaH .. Ila yte kw yte "We MBWA" io sio tabia nzur, af acha kupend pend brazza utakurupukia jishoga af ukose poziNi kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
Teh teh paprika kuja pande hiiKama mm paprika anavyoniumiza moyo wangu
Jamani sisi si wabaya kama hivyo mnavyofiria.At least muweke picha za wadada mnaokaribiana uzuri walau japo kidogo.
Sijui na mimi nijiite DanBright, au na hii avatar sio yako?Napita tuu njia hii ni mgeni [emoji124][emoji124][emoji124]
shabashi ayayaya hv kumbe n ww ulinifukuza siku ileMbona mimi yangu hiyo siwezi kuweka sura ya mtu mwingine wakati mwenyewe sura ninayo
Mahondaw mwenyewe anatumia fake I'd
Mbwa dume Wakwanza ni Wakwanza tu wapili noway hukuwa na jinsi na ulishakataliwa na Wakwanza
Comment yako inaonesha dhahiri still una kinyongo na rubii orelse you still love her
Kumfuatilia mtu ni ishara ya kutokujiamini
Hakukuwa na sababu ya kuelezea yote hayo yanayomuhusu rubii
Mbona rubii hahangaiki nawewe kukusema sema wala kukutajataja kulikoni wewe uhangaike nae sasa???
Umuache apumue aseeh
No need to defend yourself ushapata mtu over.
Ni mtazamo tu
Opinions are not fact
Cc Smart911
Yangu hiyo,vyote original hakuna fake hapoSijui na mimi nijiite DanBright, au na hii avatar sio yako?
Naona nahuyu malaya wake ana ka inferiority complex. Badala ya kuzungumzia majeneza wana kudis. Naomba we jama namwezio mniachia ka rubii. Alaf huyu mbona hiyo sura yake rubii. Ukute malaya wako alikuonyesha sura ya mtu mwingini. Fara wewe. Kama biashara mbaya ya majaneza usipunguzie stress zako kwa Rubii mwisho mtamlaum Uncle magu utathani ndo anayezuia vifo. Kwedraaaaa.