Hahahhlaha[emoji23] usiniseme jamani sakayoHawathubutu kuweka hata kucha
Hujambo mdogo wangu
ila ww mbona mkorofi hadi huku?Enjoy mpendwa
.....[emoji23][emoji23][emoji23] nina video yake nikakumbuka ana chura hatariii
ila ww mbona mkorofi hadi huku?
Heshima Mkuu!Ulitaka watu waweke sura zao hapa?
kasema sura yako alivyoiona alichoka!!Mungu anamakusudi yake kuniumba jinsi nilivyo mkuu
Kila la kheri Mkuu!Dah ewe binti, niweke wazi kwamba naipenda sana michango yako.
Bila hata kujua upoje, lkn hekima zako za michango zinanisisimua sana humu, huwa natafuta jinsi ya kukueleza lkn imenibidi nifunguke leo kwenye uzi wangu.
Hakika nitakufata kukueleza hisia zangu ingawa sikujui.
kasema sura yako alivyoiona alichoka!!
sasa mwulize ungemkubalia kwenye PM bila kuona sura yako ingekuwaje huko mbeleni?
Asante my dearmiss u too dear unasalimiwa na kaka ako wa hiari
wifi umeamua kuweka ya kwako origino eeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiv y kutwa wanawake wanawake? Anayeweka avanter yake mwenyewe awe mwanamke au mwanaume ni wachache sanakama ni kuwagusa .. Umewagusa pabaya (in Lody Eyes voice)
Delta Force
oops... **Avanter** AVATARHiv y kutwa wanawake wanawake? Anayeweka avanter yake mwenyewe awe mwanamke au mwanaume ni wachache sana
Jesus is my saviour and a friend
Nakwambia shem balaa. Wengine tunapenda tuoops... **Avanter** AVATAR
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Kama tumeweza kutumia majina sio yetu tunashindwaje kutumia Picha za watu!!!!