Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

3c877bdc27174f70ecad24c53a56debf.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23] nina video yake nikakumbuka ana chura hatariii
.....
 
Ulitaka watu waweke sura zao hapa?
Heshima Mkuu!

Sidhani kama lengo lake ni kama ulivyo-reason,La hasha!!,Alichokisaili ni hili "Kwanini mwanamke uweke sura ya mtu Attractive ambae si yeye"?.

Kwa mfano kwako Eclat, Mara nyingi umekuwa ukutuwekea DP ya Oprah (I Believe wewe si Oprah Winfrey) ila ni vyema kwakuwa sote tunamfahamu na pegine ni inspirational kwako.Thats not the case.

Tatizo ni pale mtu anapoiweka sura ambayo si yake then mtu mwenyewe si icon ya sisi kumjua wala hata yeye hamfahamu.Huna nasaba na mtu, si rafiki, si ndugu, humfahamu nk.Unamuweka katika avatar yako ili iweje.Huoni ndiyo mwanzo wa kufuatwa Inbox?.

Simpangii mtu picha ya kuiweka kwenye avatar yake ila kwanini uiweke picha ya mtu akiwa na Nguo za kuogelea,Nusu uchi nk?.Je huku si kuushusha uanamke hadhi?.Au je si kuutukuza uanamke mwingine na kujishusha hadhi wewe?.

Nb;Kwa mtu mwenye IQ yake serious, si vizuri kuianika sura yako wakati Username si yako.Pia si busara kutumia username yako na kutuwekea avatar ambayo si yako.
 
Mungu anamakusudi yake kuniumba jinsi nilivyo mkuu
kasema sura yako alivyoiona alichoka!!
sasa mwulize ungemkubalia kwenye PM bila kuona sura yako ingekuwaje huko mbeleni?
 
Dah ewe binti, niweke wazi kwamba naipenda sana michango yako.

Bila hata kujua upoje, lkn hekima zako za michango zinanisisimua sana humu, huwa natafuta jinsi ya kukueleza lkn imenibidi nifunguke leo kwenye uzi wangu.
Hakika nitakufata kukueleza hisia zangu ingawa sikujui.
Kila la kheri Mkuu!

Usisahau kuturejeshea mrejesho.
 
Kwani nyie wakaka hizo ni zenu?

love thé love or hâte thé love.....
 
Kama tumeweza kutumia majina sio yetu tunashindwaje kutumia Picha za watu!!!!
 
Hiv y kutwa wanawake wanawake? Anayeweka avanter yake mwenyewe awe mwanamke au mwanaume ni wachache sana

Jesus is my saviour and a friend
oops... **Avanter** AVATAR

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Back
Top Bottom