Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,604 Reaction score 20,085 Jul 25, 2017 #281 Nokia83 said: Sawa lakini sio muweke nyonyo hizo mnatupa mfadhaiko Click to expand... Mie nimeweka picha,kwanini usi concentrate na kichwa uangalie manyonyo tuuu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nokia83 said: Sawa lakini sio muweke nyonyo hizo mnatupa mfadhaiko Click to expand... Mie nimeweka picha,kwanini usi concentrate na kichwa uangalie manyonyo tuuu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
The Professor JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 2,221 Reaction score 4,564 Jul 25, 2017 #282 Hiyo situation haina tofauti na demu aliyepaka make - up,, unakuta sura ni apple kutana nae hivi physically sura fenesi Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo situation haina tofauti na demu aliyepaka make - up,, unakuta sura ni apple kutana nae hivi physically sura fenesi Sent using Jamii Forums mobile app
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,812 Reaction score 16,487 Jul 26, 2017 #283 Libenna said: Hiyo situation haina tofauti na demu aliyepaka make - up,, unakuta sura ni apple kutana nae hivi physically sura fenesi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umenichekesha, kuna jamaa alipeleka mke mahakaman baada ya ndoa, aliamka asbh akakutana na sura nyingine lol ie. Sura without makeup So alitaka fidia kwa kumdanganya ni mzr[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Jesus is my saviour and a friend
Libenna said: Hiyo situation haina tofauti na demu aliyepaka make - up,, unakuta sura ni apple kutana nae hivi physically sura fenesi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umenichekesha, kuna jamaa alipeleka mke mahakaman baada ya ndoa, aliamka asbh akakutana na sura nyingine lol ie. Sura without makeup So alitaka fidia kwa kumdanganya ni mzr[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Jesus is my saviour and a friend
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Nov 19, 2018 #284 Madame B yeye hajadanganya
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,155 Reaction score 35,683 Nov 19, 2018 #285 Remote said: Madame B yeye hajadanganya Click to expand... Yeah Najiamini