Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Hiyo situation haina tofauti na demu aliyepaka make - up,, unakuta sura ni apple kutana nae hivi physically sura fenesi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha, kuna jamaa alipeleka mke mahakaman baada ya ndoa, aliamka asbh akakutana na sura nyingine lol ie. Sura without makeup

So alitaka fidia kwa kumdanganya ni mzr[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Jesus is my saviour and a friend
 
Back
Top Bottom