Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie mama hajui huyoohahahh hawajui mtu mweusi huwezi weka avatar ya mtu mweupe
Acha kabisaa kuna zaidi ya visuu umu aseeDuh! Jf kumbe kuna wadada wazuri sana
Hana mamlaka ya kukuona. Aniulize Mimi mwenye Shunie mwenyewe ni mueleze jinsi ulivyo, tena angejua wewe ni mzuri kushinda hata hiyo pic ulioweka hangeandika Uzi wakeusijal Antonio utanijua tu sura yangu
Mbona umekuja kwa kutegatega jiachienipo hapa bint mapozi, macho km ya Rihana, sura ya beyonce.
hakika umejaliwa, sijui utamlipa mungu nini
ilikua haihusiani kuja kumwanika hivyoNi kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
nahisi utakua umekosea kuniquoteHana mamlaka ya kukuona. Aniulize Mimi mwenye Shunie mwenyewe ni mueleze jinsi ulivyo, tena angejua wewe ni mzuri kushinda hata hiyo pic ulioweka hangeandika Uzi wake
Unaelekea wapi nikufuate,jibu hoja kwanza, hizi tuhuma pia zinakuhusuNitarudi
Mie hazinihuSu picha yangu halisi hiyoUnaelekea wapi nikufuate,jibu hoja kwanza, hizi tuhuma pia zinakuhusu
Ungekausha Mbwa dume... Siyo poa kabisa...Ni kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
Hahahahah una vihoja wewe hatarisiku mkianza kuweka sura zenu na sisi tutaweka
ila tunaojuana nao wanatosha kutujua tunavyofanana
ndio mm apa baba parokoHahahahah una vihoja wewe hatari
Jamani lee empire anafaidi wacha muumini wangundio mm apa baba paroko
Nakusubiri kukupokea kwenye ziara ya kuja pande hizi,hope to see you soonMie hazinihuSu picha yangu halisi hiyo
yaan anafaidi baba paroko sifa na utukufu kwa Mungu aliye juuJamani lee empire anafaidi wacha muumini wangu
Usijal mwezi wa sita naporomoka tzNakusubiri kukupokea kwenye ziara ya kuja pande hizi,hpoe to see you soon