Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

usijal Antonio utanijua tu sura yangu
Hana mamlaka ya kukuona. Aniulize Mimi mwenye Shunie mwenyewe ni mueleze jinsi ulivyo, tena angejua wewe ni mzuri kushinda hata hiyo pic ulioweka hangeandika Uzi wake
 
Ni kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
ilikua haihusiani kuja kumwanika hivyo
 
Ungekausha Mbwa dume... Siyo poa kabisa...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom