Hahahaha kwa kweli,kuna vijana wamebarikiwa sanayaan anafaidi baba paroko sifa na utukufu kwa Mungu aliye juu
Karibu sana,uje na zawadiUsijal mwezi wa sita naporomoka tz
Uwahi ili upate zawad na wewKaribu sana,uje na zawadi
Ni kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
Hahahaha zawadi za kuwahi sio wewe niwekee zawadi yangu pembeniUwahi ili upate zawad na wew
Huyo huyo [emoji23]Atakuwa Miss Natafuta .
kumbe ni rubiiMbwa dume Wakwanza ni Wakwanza tu wapili noway hukuwa na jinsi na ulishakataliwa na Wakwanza
Comment yako inaonesha dhahiri still una kinyongo na rubii orelse you still love her
Kumfuatilia mtu ni ishara ya kutokujiamini
Hakukuwa na sababu ya kuelezea yote hayo yanayomuhusu rubii
No need to defend yourself ushapata mtu over.
Cc Smart911
Asante kwa kuliona ilo shunienahisi utakua umekosea kuniquote
Not good bana ni kama self defense vilekm kuna demu wa JF nilishawahi mfuata PM anihaibishe hapa.
Sinaga hizo tabia.
Mi nakuchama humu humu
Sky Eclat njoo mama
Mkuu, nimeona hili tangazo.Mbona mimi yangu hiyo siwezi kuweka sura ya mtu mwingine wakati mwenyewe sura ninayo
bullar mzee wa churaMimi mwanaume halisi sihusiki na huu utoto wa baadhi ya wanaume suruali.... unataka avatar pic yake iwe OG ili iweje? kidumu chama cha marijari
hahahahNot good bana ni kama self defense vile
Live your life especially for you men
Unajua sisi wanawake ndo tupo na longolongo nyingi eeeh so when it comes to a man ntantari ntantarira nyingi kidogo I doubt
Cc Smart911