Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Ni kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.

Mbwa dume Wakwanza ni Wakwanza tu wapili noway hukuwa na jinsi na ulishakataliwa na Wakwanza

Comment yako inaonesha dhahiri still una kinyongo na rubii orelse you still love her

Kumfuatilia mtu ni ishara ya kutokujiamini
Hakukuwa na sababu ya kuelezea yote hayo yanayomuhusu rubii
Mbona rubii hahangaiki nawewe kukusema sema wala kukutajataja kulikoni wewe uhangaike nae sasa???
Umuache apumue aseeh

No need to defend yourself ushapata mtu over.
Ni mtazamo tu
Opinions are not fact

Cc Smart911
 
Kuna mademu wana sura za baba zao........mbaya zaidi unakuta baba ni badface....demu unakuta sura kama bagia,,,,alafu ukitoa salam anaangalia pembeni.............shame to you ugly girls...................
 
Mbwa dume Wakwanza ni Wakwanza tu wapili noway hukuwa na jinsi na ulishakataliwa na Wakwanza

Comment yako inaonesha dhahiri still una kinyongo na rubii orelse you still love her

Kumfuatilia mtu ni ishara ya kutokujiamini
Hakukuwa na sababu ya kuelezea yote hayo yanayomuhusu rubii

No need to defend yourself ushapata mtu over.

Cc Smart911
kumbe ni rubii
 
Nampenda sana Sky Eclat.
sitaki kumuumiza, yeye ndie ananiweka busy.
lkn chakushangaza hana muda na mimi
its paining!!!
Dah... [emoji13] [emoji13]
IMG-20170322-WA0012.jpg
 
km kuna demu wa JF nilishawahi mfuata PM anihaibishe hapa.
Sinaga hizo tabia.
Mi nakuchama humu humu
Sky Eclat njoo mama
Not good bana ni kama self defense vile

Live your life especially for you men
Unajua sisi wanawake ndo tupo na longolongo nyingi eeeh so when it comes to a man ntantari ntantarira nyingi kidogo I doubt

hahahah
unajua wengine tumejifunza ujinga mwingi humu.
Najikuta nimeiga vitabia vingi humu.
Sky Eclat
 
Back
Top Bottom