Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashtaka gan kumbe nina kesi hum[emoji15] [emoji15] [emoji15]Jibu mashtaka kwanza
Hapana aiseeh, huku naona ni juice ya malimao ni ngumu kucheza.pitia na huku upate japo juice ya tende
heeeHakuna sura mbaya wala nzuri, ni mtazamo wako tu
Je una uhakika kama hizo sura si zao??ukiambiwa uthibitishe utaweza??
Cuzoo I see you.[emoji28][emoji28][emoji28]nimekuja nipo mm
anko magu sio mtu mzuri kabisa alegeze kidogoLol hizi zitakuwa stress
Hawajui kuna kamfanano[emoji4][emoji4]siku mkianza kuweka sura zenu na sisi tutaweka
ila tunaojuana nao wanatosha kutujua tunavyofanana
Nahis umetuona tumekuja karibia nusu yake
Kakaza Sana aisee maana si kwa kuvurugwa huku[emoji28][emoji28]anko magu sio mtu mzuri kabisa alegeze kidogo
nimekuja cuzoo wanajua jf ni kama fb au insta eb tuwape majina huko mtufollow muone pichaCuzoo I see you.[emoji28][emoji28][emoji28]
Ila wamekuja kwa kasi.Lol hizi zitakuwa stress
We waache wakizidi kutuchefua tunawapa ID watufollw huko insta wakaone uumbaji wa Mungu[emoji5]nimekuja cuzoo wanajua jf ni kama fb au insta eb tuwape majina huko mtufollow muone picha
Hawajui ndo tulivyoeee[emoji28]Nahis umetuona tumekuja karibia nusu yake
hahahh hawajui mtu mweusi huwezi weka avatar ya mtu mweupeHawajui kuna kamfanano[emoji4][emoji4]
Wana vilanga kweli vyuma vimekaza maana wanatutafutaaa sijui tuwaoneshe[emoji23][emoji23][emoji23]Ila wamekuja kwa kasi.
Hivi kinawauma nini kama wanataka waone sura za wadada si waende facebook. Khaaaa