Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

umenena kwel.. Mm hpa had nataman kuwatapik, jitu linakusumbua akil kumbeeeeeee dohh
 
Kuna mademu wana sura za baba zao........mbaya zaidi unakuta baba ni badface....demu unakuta sura kama bagia,,,,alafu ukitoa salam anaangalia pembeni.............shame to you ugly girls...................
D😀😀😀
 
CHAPUTA tunataka hizo hizo msitoe, hata mkiweza kuweza Za kule chin MKURANGA poa tuu[emoji12] [emoji12]
 
Ndo maana wameongoza kwenye forgery za vyetiii..yaan wanafoj hata avatar za jf..
 
[emoji3][emoji3][emoji3] muwee avatar za vyura pls
3c877bdc27174f70ecad24c53a56debf.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23] nina video yake nikakumbuka ana chura hatariii
 
Kuna mmoja anapatikana sana maeneo haya dah!

Ana avatar ya uhakika, si akatafutwa kwa namna zote,
Nikaja kumuona sikupenda kuonesha mshituko kwake,
kwa ujumla hana nilichovutiwa naye,
Sikumuulizia nini kilimpata kwani ana ngeo kubwa mno karibu na jicho upande wa kushoto, nadhani ni mtu wa Tarime kwani ndo waso huruma kiasi hicho.

Nilijitahidi kutoa huduma zote kama mgeni wangu,
Na mwisho tumekuwa watu wa karibu na marafiki wa kawaida.

Tunataniana mpaka anazungumza sababu ya kubadirishia gia angani nami namwambia si kweli basi anacheka sana tu.
 
Back
Top Bottom