Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

eee dem nilikuwa nataka nimtokee alikuwa na sura mbaya nikajua ,atajaa kingi afu ntapiga kirahisi, du kinyume chake ikawa dharau na kejeli, nilichofanya ili kuharibu kabisa nikamwambia ananuka K, ilikuwa utata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we sio mtu mzuri kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we sio mtu mzuri kabisa
niliona kama mbaya acha iwe mbaya......................mtoto m'baya analeta mashauzi, wakati watoto wazuri wanakuja geto wanalilia ukuni
 
Ni kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
Hapa sasa naamini kuwa kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, hahukuwa na haja ya yeye kukutumia picha ili umuone ambaye hajakukubali.
 
Back
Top Bottom