Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Jamani jamani wadada wa Jamii For life naomba msaada wenu please.
Nimejiunga Jf Dec 1 2016 Alhamis leo ni march 19 2018 nina kama mwaka miezi minne na siku 18 lakini toka siku hiyo sijawah pata pm yoyoye ile! 😡😡 Hata mtu kukosea njia akawa kani pm mm haijatokea hata salamu tu sipatiiii😱
Wengine wanapata wapenz, wanabebishana wanakulana, wanamahaba niue ila KASORO DAVINCI TU! WHY?????
Mshana Jr nitikisie tunguri nami nipate kanjiwa kamoja ka kubebishana nako humu
Taarifa iwafkie..
  • Jolie jolie
  • Numbisa
  • Demiss
  • Mama aabrina
  • Geniveros
  • Demi
  • Shunie
  • Miss natafuta
  • Inna
  • Maserati
  • Minah24
  • Nahuja
  • Carbamazepine
  • Cute b
  • Miss chagga
  • Sakayo
  • Witness j
  • Victor wa happy
  • Cocochanel
  • Madame B
  • Lovely mumu
  • Dj sepetu
  • Mareth
  • Madam S
  • Gfsonwin
  • Mahondaw
  • Ukhuty
  • Kapeace
  • Nitarudi kuendekeza....
  • Gentamycine
  • V putin
  • Limsambwanda
  • Tumosa
  • Y2n
  • Majoto
  • Kioo
  • Mambembe
  • beira boy
  • The list
  • Yeth lotah
  • Padri mcharo
  • Kisandu junior
Una uhakika upi kama hao uliowaorodhesha ni wanawake au wasichana?
 
Bora hata usingeandika list yako... Ningeku PM kabla hata hujapost... Bas tena
 
Well sasa inabidi ujue kua PM yangu imemis kubadilishana naww izo namba za bajaji na majina halisi ya mmliki wa bajaji
Mile natumia namba ya wakala.
Unajua simu yangu tigo waliichukua, hivo wamenipa adhabu ya kutumia namba ya wakala
 
Back
Top Bottom