DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Maamaae we mdada hufai[emoji23] [emoji23] hata kwa kachumbariKabisa.
Mwanaume asie na pesa, hata thread zake utazijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maamaae we mdada hufai[emoji23] [emoji23] hata kwa kachumbariKabisa.
Mwanaume asie na pesa, hata thread zake utazijua
Jamani pole[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umenichekesha sana we mtu
sisi ma DJ ambao burudani ni Kazi tunashinda humu hatuna hata mia walah!Maneno meengi post mpya kila kukicha
Wala maboss zetu maneno machache na anacomment kwa malengo
Kwani uume ndo unabeba tofali?Hizi nguvu za kubeba matofali
Mko kama wanne humu.Muwe mnaweka kianzio cha kuja pm
Maana hata mia tano
Kwa hiyo uume unabeba papuchi auKwani uume ndo unabeba tofali?
Acha masihara bhana
Ambao hatuna pesa etiMko kama wanne humu.
Nipe basis hiyo pesaNmesikia Madame Blossom!!.. I know there is a question in " i love you?"... Well i don't have money ila nataka usijipe muda wa kutafakari jibu la ilo swali ,its simply because "i love you too " .
Pesa ya kuhonga sina ,ila pesa ya kujali ipo Madame Beautiful....
NdioAmbao hatuna pesa eti
Hayanihusu.sisi ma DJ ambao burudani ni Kazi tunashinda humu hatuna hata mia walah!
Una uhakika upi kama hao uliowaorodhesha ni wanawake au wasichana?Jamani jamani wadada wa Jamii For life naomba msaada wenu please.
Nimejiunga Jf Dec 1 2016 Alhamis leo ni march 19 2018 nina kama mwaka miezi minne na siku 18 lakini toka siku hiyo sijawah pata pm yoyoye ile! 😡😡 Hata mtu kukosea njia akawa kani pm mm haijatokea hata salamu tu sipatiiii😱
Wengine wanapata wapenz, wanabebishana wanakulana, wanamahaba niue ila KASORO DAVINCI TU! WHY?????
Mshana Jr nitikisie tunguri nami nipate kanjiwa kamoja ka kubebishana nako humu
Taarifa iwafkie..
- Jolie jolie
- Numbisa
- Demiss
- Mama aabrina
- Geniveros
- Demi
- Shunie
- Miss natafuta
- Inna
- Maserati
- Minah24
- Nahuja
- Carbamazepine
- Cute b
- Miss chagga
- Sakayo
- Witness j
- Victor wa happy
- Cocochanel
- Madame B
- Lovely mumu
- Dj sepetu
- Mareth
- Madam S
- Gfsonwin
- Mahondaw
- Ukhuty
- Kapeace
- Nitarudi kuendekeza....
- Gentamycine
- V putin
- Limsambwanda
- Tumosa
- Y2n
- Majoto
- Kioo
- Mambembe
- beira boy
- The list
- Yeth lotah
- Padri mcharo
- Kisandu junior
Umeona eeeeManeno meengi post mpya kila kukicha
Wala maboss zetu maneno machache na anacomment kwa malengo
Well sasa inabidi ujue kua PM yangu imemis kubadilishana naww izo namba za bajaji na majina halisi ya mmliki wa bajajiNipe basis hiyo pesa
Labda pesa ila nguvu za kiume nabishaNdio
Na nguvu za kiume hamna
Mnatuchosha.Maamaae we mdada hufai[emoji23] [emoji23] hata kwa kachumbari
Mile natumia namba ya wakala.Well sasa inabidi ujue kua PM yangu imemis kubadilishana naww izo namba za bajaji na majina halisi ya mmliki wa bajaji