Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Bora hujamuweka Mzigua90 hapo kwenye list yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aliniweka beb wangu mmoja wa mods akanifuta [emoji23][emoji23]
 
Funga na kuomba mungu atatenda muujiza mi ninae wa kumbebisha nanenepa tu
 
Mkuu,
Una mwaka mmoja tu unalalama hivyo wakati watu tuna miaka 9 hapa jukwaani na hizo PM hazijawai kukosea njia.

godforsaken!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa utapataje pm kama we mwenyewe hujatulia.
 
Hao wote uliowatag ni wanawake au ni macho yangu yana kengeza?
 
Una uhakika gani hawa wote uliowatag ni wanawake? Inamaana unataka wote wakupm? Namuona umemuunganisha hadi Jolie Jolie. Jomoni...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo yanabadlika sana!! yaan mwanaume unaanza kuomba kutongozwa kwel jaman!!! Wanaume wengine sijui mapepo ya ushoga sijui nn!!! Aise!!! Mbona wengne hatujawah hata kuwaza kuzitumia PM zetu kwa kutongoza hum jf yaan tunawaza kuhabalika tu... Ww mwanaume mwenzetu daa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…