Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Hahahaaaa wanawake wa jf wana talent ya kusmell mfuko wa mtu
Hahahaaa
 
Sasa jitahidi ufike kilingeni Msata haraka ila kwenye hiyo list yako kuna mtu naomba umremove kwa sababu za wazi kabisa
Mme wangu !!!

"Wewe thread unajua jinsi gan Mr Kr anavyonipenda naomba hilo utambue"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Daahhh namm leo nmeamka nakuwaza sana ,swali kubwa lilokua linazunguka kichwan mwangu ,ni * yuko wapi huyu mwanamke alojaliwa steki?*

Kumbe tulikua tunatafutana.
Kuna MTU anadai eti kuna vijana huku wamenigegeda wamemtumia na video.yaani nimeshindwa kumdifine. Hao vijana wa kwanza ni kichaa flani. Kumbe kuna watu humu ni vichaa kweli.
 
Mkuu Da'Vinci,, Mungu kakuamini akakuumba mwanaume; kuwa mwanaume ni kuwa kiongozi, kuwa mwanaume ni kuwa mheshimiwa, kuwa mwanaume ni kuwa kielelezo, kuwa mwanaume ni kuwa na majukumu mengi.


Hapo ulipo timiza wajibu wako kama mwanaume, wanawake watakufuata na kukutamani hadi utahisi ni usumbufu.

Hakuna formula,, ww fanya yalioyakiume kikamilifu utaona utakavyosumbuliwa hata kama utakuwa umeoa. Wewe utajiongezea kazi ya kuwaignore tu.

I mean it kwani yashawahi kunitokea na yanaendelea,,, ignoring ndio level yangu kwasasa, lazima nimheshimu anayenitii, Isaya 4:1 na waebrania 13:4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…