Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

M
Mbona mi sipo kwenye list
 
Mimi wanavyonisumbua hko pm tokea nmepiga biko 60ml nachoka kusoma sms.
 
kwahio hufanyi kazi unategemea pesa za wanaume tena tofaut tofaut
.halaaf pia usiwazungumzie jisemee wewe kama wewe..sababbu nafikiri pia naamini kuna wanawake wanaojielewa sana huku na sio wapayukaji payukaji ovyo na ni vigumu kuwatambua ila kwa mwanaume alie na nia thabiti kupata mwenza/rafiki/ basi hujitokeza na kuwapata.
 
Kuna MTU anadai eti kuna vijana huku wamenigegeda wamemtumia na video.yaani nimeshindwa kumdifine. Hao vijana wa kwanza ni kichaa flani. Kumbe kuna watu humu ni vichaa kweli.
Dooooohhh pole sana mpenzi ,kumbe ndo hayo tena aiseee, sasa kwann naww usimuumbue hadharan aumbuke ?? Nikitendo kibaya sana iko na kuvunja heshima yamtu .. Ungemuumbua aumbuke !! Ukikaa kimya wenda akasadifisha upuuzi wake huo .

Pole kwa yote , sasa umesema unanitafuta sanaaaaa ,,au namm umeambiwa nipo ktk hiyo list????
 
Haswaa swadakta jibu zuri nimelipenda
 
HahahaUOTE="babalao 2, post: 26274996, member: 79250"]Mimi wanavyonisumbua hko pm tokea nmepiga biko 60ml nachoka kusoma sms.[/QUOTE]
Haha
 
maelezo yako yatakua yameniwakilisha na mimi [emoji85]
 
HAHAA HAHAAAA
 
wanawake wa jamii forum mna roho mbaya sana...yan mtu anaomba ata mjaribu kumpm ila wengine ndo kwanza wanawaza kuzifunga[emoji3] [emoji3]
Hahaaa hii kweli niroho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…