Dinnah
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 791
- 1,058
M
Mbona mi sipo kwenye listJamani jamani wadada wa Jamii For life naomba msaada wenu please.
Nimejiunga Jf Dec 1 2016 Alhamis leo ni march 19 2018 nina kama mwaka miezi minne na siku 18 lakini toka siku hiyo sijawah pata pm yoyoye ile! 😡😡 Hata mtu kukosea njia akawa kani pm mm haijatokea hata salamu tu sipatiiii😱
Wengine wanapata wapenz, wanabebishana wanakulana, wanamahaba niue ila KASORO DAVINCI TU! WHY?????
Mshana Jr nitikisie tunguri nami nipate kanjiwa kamoja ka kubebishana nako humu
Taarifa iwafkie..
- Jolie jolie
- Numbisa
- Demiss
- Mama aabrina
- Geniveros
- Demi
- Shunie
- Miss natafuta
- Inna
- Maserati
- Minah24
- Nahuja
- Carbamazepine
- Cute b
- Miss chagga
- Sakayo
- Witness j
- Victor wa happy
- Cocochanel
- Madame B
- Lovely mumu
- Dj sepetu
- Mareth
- Madam S
- Gfsonwin
- Mahondaw
- Ukhuty
- Kapeace
- Nitarudi kuendekeza....
- Gentamycine
- V putin
- Limsambwanda
- Tumosa
- Y2n
- Majoto
- Kioo
- Mambembe
- beira boy
- The list
- Yeth lotah
- Padri mcharo
- Kisandu junior