Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Mile natumia namba ya wakala.
Unajua simu yangu tigo waliichukua, hivo wamenipa adhabu ya kutumia namba ya wakala
Haina shida kwangu nisawa Madame Bela !! Yakupasa tu Uamini kua Your Womanhood is like a Magic !! .... So hakijaharibika kitu
 
Pole San ndugu yang kua mvumilivu ntamwambia my x akufuate
 
Nami nimeshakuja laaziz
Sawa nmepokea kwa mikono miwili ,kichwa ,miguu ,moyo ,kila kitu , what i can assure you is that ALL OF MY HEART imekuita na labda niseme hamna hata chemba moja ilobakia kukupinga ,it is simply because you are Captivating
 
Back
Top Bottom