Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Tuendelee bhana
Kwan ulifikiri nitaacha kuendelea ?? Akuuu kuna vitu sio vya kususiwa ,wee ukiniita hata mtumwa nitafurahi kwakua u malikia , je umesahau furaha ya mtumwa nikutaka japo awe karibu na malikia ili aweze kufaidi mema yanchi??? Kwaivo yote kwa yote nikupata fursa ya kukutumikia wewe mwanamke ,you know your curves need to be worshipped!!

Ndo ivo Mie sijali Madame Better
 
Hiyo lIst humo kuna wanaume. Au jinsia zao ni zotezote???
 
Ha ha haaaaaa

Unataka nije PM nikuambie nini?

Haya nakusalimu.. hujambo?

chuma cha mjerumani njoo unifundishe PM inatumikaje.. nimsalimie huyu mwenzetu wa humu.


Nikufundishe jinsi ya kuandika kwa mtiririko, nikufundishe kutokukurupuka, BADO NIKUFUNDISHE NAMNA YA KUTUMIA Private Mesage??????

Mwambie akuPM utareply tuu very simple.

Jitahidi uwe mbunifu mbona kunanii hukawai kufundishwa.
 
ID yangu ya zamani ilikuwa na Pm za kutosha ila hii mpyay nina pm moja tu tena ya moderator akinipa maelekezo.
 
ID yangu ya zamani ilikuwa na Pm za kutosha ila hii mpyay nina pm moja tu tena ya moderator akinipa maelekezo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzio kwa siku zinaingia pm sio chini ya kumi, za maonyo lakini!
 
Unadhani wanawake wa Jf ni mandezi kiasi hiki!
Hata kama tuko nyuma ya keyboard, tunakujua mpaka mfukoni kwako kulivyo.
Baba, tafuta pesa....hizi sixpack waachie waliojichanga tayari.
Mwanaume asie na pesa, Pm ataipata kwa modereta kipindi anapewa sababu ya kwanini kala ban, otherwise.....utaisikia jukwaani tu.
Tena modereta mwenyewe wa kiume.
Duh sio kwa bango ilo ulilompa
 
Back
Top Bottom