Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,751
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko poa vipi weweHellow Khantwe , hope your Friday imejazwa utamu utamu ...
Nko poa kabisa, umefunga PM ? Nashindwa kutema madiniNiko poa vipi wewe
Sijafunga mbonaNko poa kabisa, umefunga PM ? Nashindwa kutema madini
Aahhh basi utakua umezuia ID hii isianzishe conversation naww..ngoja nijaribu ikikubali ,nitashuka Bonge LA mtongozo hujawahi shuhudia
Acha kamba weweAahhh basi utakua umezuia ID hii isianzishe conversation naww..ngoja nijaribu ikikubali ,nitashuka Bonge LA mtongozo hujawahi shuhudia
Kamba tena ? wee tulia ,yann mate na wino upo?
Mkuu wapi avatar yako ile ya mwanzo kabisaAisee
Avatar ipi hiyo mkuu nikumbushe maana nimebadilisha nyingiMkuu wapi avatar yako ile ya mwanzo kabisa
Ile ya mwanamke kavaa hijab, sijui ndo wewe mwenyewe... Kuna mada hivi mwaka jana ilikuwa inahusu ndoa hivi; ulikuwa unatetea watoto wa kike....Hiyo siku ndo ulikuwa na hiyo avatar, unakumbuka?Avatar ipi hiyo mkuu nikumbushe maana nimebadilisha nyingi
Sikumbuki mkuuIle ya mwanamke kavaa hijab, sijui ndo wewe mwenyewe... Kuna mada hivi mwaka jana ilikuwa inahusu ndoa hivi; ulikuwa unatetea watoto wa kike....Hiyo siku ndo ulikuwa na hiyo avatar, unakumbuka?
Ndo yenyewe mkuu... , Vp ndo wewe auSikumbuki mkuu View attachment 1408153hii
Hapana sio mimi mkuuHehe!!! Ndo yenyewe mkuu... Naikubali sana hii, Vp ndo wewe au