Wadada wa jf wekeni pichazenu halisi kwenye avatar zenu

Avatar ipi hiyo mkuu nikumbushe maana nimebadilisha nyingi
Ile ya mwanamke kavaa hijab, sijui ndo wewe mwenyewe... Kuna mada hivi mwaka jana ilikuwa inahusu ndoa hivi; ulikuwa unatetea watoto wa kike....Hiyo siku ndo ulikuwa na hiyo avatar, unakumbuka?
 
Sikumbuki mkuu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…