Post tu unampenda Nyete na tabia zake ilo tuNipe cha kupost nipost basi
Honestly nimemiss kupost ila sina
Iyo kauli Kama ina ukweli hiviLabda nikupost wewe nikwambie uniambie uwe huru kuniambia unanipenda
Hivi hujawahi kuona uzi wangu wowote?[emoji23]
Ngoja nikufatilie kwa kina maana nmeanza kukuaminiaMara nyingi nimepost
Mmoja wapo huu
Starehe yako ni ipi?
Hi chit chat Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa Wewe je?www.jamiiforums.com
Ukitaka uzi wangu mwingine utaniambia nikuwekee πππNgoja nikufatilie kwa kina maana nmeanza kukuaminia
Ukitaka uzi wangu mwingine utaniambia nikuwekee [emoji23][emoji23][emoji23]
Andaa picha yako na CV tu πAsante ila sandei ntakua na safari ya kuja pm yako
picha nnaweza kua nayo ila utata kwene kutuma, CV hilo suala ni gumu sana ni heri ngamia kupenya kwene tundu la sindanoAndaa picha yako na CV tu [emoji16]
Upi?picha nnaweza kua nayo ila utata kwene kutuma, CV hilo suala ni gumu sana ni heri ngamia kupenya kwene tundu la sindano
Kuna uzi wako mmoja nimeupenda