Wadada wa jf

Wadada wa jf

Umuzukuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2019
Posts
617
Reaction score
552
Ombi kwenu wadada wa humu jf

Kuweni wachangamfu majukwaani huko mkijiachia(sio sanaaaa)
Fungueni pm zenu Ili kuimarisha mizizi ya ujiran mwema si mjua Tena😊😊😊😊😊😊😊
Muwe munapost hata tupost twa kijinga. Tutasoma tu msijali
Nyie na sisi Ni Kitu kimoja tusiogopane πŸ‘«πŸ‘«πŸ‘«πŸ‘«πŸ‘«
Nawasilisha

Uzi teyari
 
Back
Top Bottom