Umuzukuru
JF-Expert Member
- May 30, 2019
- 617
- 552
Ombi kwenu wadada wa humu jf
Kuweni wachangamfu majukwaani huko mkijiachia(sio sanaaaa)
Fungueni pm zenu Ili kuimarisha mizizi ya ujiran mwema si mjua Tenaπππππππ
Muwe munapost hata tupost twa kijinga. Tutasoma tu msijali
Nyie na sisi Ni Kitu kimoja tusiogopane π«π«π«π«π«
Nawasilisha
Uzi teyari