Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,069
- 3,516
Kuna mmoja alibeba hadi mimba kitoto cha kiarabu wakamfukuza kazi mana alikua analala pale pale,Waarabu wakaikataa mimba dogo alivyozaliwa sura kama baba yake hahahah kwa aibu ilibid wamuamishe yule mtoto wao ila mdada alivyoking’ang’anizi ameanza kumtumia mtoto kama mtaji hatar,,,haya mambo yakufungia watoto ndani na wafanyakazi ndio madhara yake haya!!