Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tengua kauli dada Miss Natafutahata wababa ndani hawajui mke ni yupi au beki tatu ni yupi kote mnapakua tu
Acha ubaguzi. Kwa hiyo kuitwa mama hadi uwe umeingia leba?
achana nae huyo.hajui watoto wa mwanamke ambae hajazaa ni wengi kuliko aliezaaAcha ubaguzi. Kwa hiyo kuitwa mama hadi uwe umeingia leba?
kwani uongo mkuu?Tengua kauli dada Miss Natafuta
ahhaaaaa umetisha babaAchana na house girl bana, wa nini kwanza? Vyombo tafuta dish washer, kufua tafuta kitu cha sympson 7kg autowash & drier, kupika iwe ni quick food like noodles au pasta; vacuum cleaner tafta auto robot unaiprogram kuosha floor mwezi mzima
ahaaaa mbona mimi sipasuagi?Kupasua vyombo huo upepo karibia wanawake wote wanao,sio mahousegirl tu.Ni kuomba Mungu hilo lijini mufilisi lisikupitie maana utapasua hadi tv ukishamaliza kupasua screen za simu.
Tokea ukiwa mdogo haujawi? vipi kuhusu vioo vya simu hupasuagi kwa kuziangusha? basi hongera sana hauna huo upepo.ahaaaa mbona mimi sipasuagi?
ahaaaaa me kuongea mvivu sanaaana .wana visa sana acha tu basi tu maishaNi kumuelekeza na kumvumilia tu, unaweza kumfukuza ukapata ambaye ni bomu zaidai,na wanaweza kukuchana mdomo kwa kuongea tehe tehe tehe
Atakayekuja yeye ataanzia Ubungo kupasua vyombo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimechoka.kesho atakuwa ubungo majogooo
ahaaa shiindwaaaaAtakayekuja yeye ataanzia Ubungo kupasua vyombo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Nafuta kauli Miss Natafuta. Utafutage basi umpate ambaye hatavunja.ahaaa shiindwaaaa
Tatizo ushamruhusu baba anapakua tu, basi beki tatu muda wote ana stress kwamba utamkaripia ndiyo maana anakuwa anatembea kama ana funza anaangusha vyombo na kupasua.Jamani hawa wasaidizi wetu wa ndani tunawapenda na tunawajali sana.yale maisha ya wasichana wa ndani kulazwa chini,kunyimwa msosi, kupigwa ,kutothaminiwa kwa kweli siku hizi yamepitwa na wakati.sasa hivi ukienda kwa mtu hata kujua beki tatu ni yupi inakuwa shida maana tumewapendezesha hadi basi. hata wababa ndani hawajui mke ni yupi au beki tatu ni yupi kote mnapakua tu
Ila jamani kuna shida moja naiona hata nimejadili na wamama wenzangu .unajipausha maka mzima kukopa vicoba ili ununue vyombo vizuri ila jamani jamani wanavipasua hao .sijui kuna pepo ama nini.
Mimi nilikaa mwaka mzima bila dada sijawai kupasua hata chombo kimoja ila dada kaja miezi mitatu naona sasa bila kupasua kitu hapumui.
Tufanyeje jamani maana ukikata mshahara unaonekana mbaya.ukifukuza a naekuja nae kama anakuja na nyundo yake rohoni