Wadada wa kichaga na upishi

Status
Not open for further replies.
Hii mada ni kama iPhone Na Tecno users😂😂😂😂....Wachaga wanasema wao wapo kimaendeleo zaidi mapishi wamewaachia watanga.....Watu wa tecno tunasema sisi mawasiliano kwanza masuala ya security na kujikweza tumewaachia iPhone
 
Cha ajabu vikundi vingi vya mapishi hapa mjini na miji mingine mikubwa ni vya hao wachaga..tenda za maharusi na event kubwa kubwa wanapewa wao
Hawapiki wao huwa wanaajili wataalam wa hayo mambo,mambo yana wenyewe hayo ,suala la mchaga na mapishi wapi na wapi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…