Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
haha waache wachaga bwana, usinitafutie matatizo saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaujua lakini huo mkate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha waache wachaga bwana, usinitafutie matatizo saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaujua lakini huo mkate
Yeye mwenyewe ni dada....Aliyeleta mada atuambie nae katokea mkoa gani dhen tujadili dada zake
Hahaha hahaha hahahahaha waache wachaga bwana, usinitafutie matatizo saa hizi
Hao ndo wale wanaitwa wapumbavu afu wanapiga makofi na kushukuru wametolewa majalalaniUnsema skills za kimaendeleo zero? Are you serious?
Yani kupika mandazi ni skills za kimaendeleo?
Naona unawatetea dada zakoUgumu wa hilo andazi ndo utamu wake, ukipata matatu ukishushia na maji ni mpaka usiku ukifunga duka.
Dada zetu na waheshimiwe na watu wote.
Hawapiki wao huwa wanaajili wataalam wa hayo mambo,mambo yana wenyewe hayo ,suala la mchaga na mapishi wapi na wapiCha ajabu vikundi vingi vya mapishi hapa mjini na miji mingine mikubwa ni vya hao wachaga..tenda za maharusi na event kubwa kubwa wanapewa wao
We lazima utakuwa mjaluooHii mada ni kama iPhone Na Tecno users😂😂😂😂....Wachaga wanasema wao wapo kimaendeleo zaidi mapishi wamewaachia watanga.....Watu wa tecno tunasema sisi mawasiliano kwanza masuala ya security na kujikweza tumewaachia iPhone
Kuna mtaji money na mtaji ujuZiCha ajabu vikundi vingi vya mapishi hapa mjini na miji mingine mikubwa ni vya hao wachaga..tenda za maharusi na event kubwa kubwa wanapewa wao
Hapana mkuu mimi mtanzaniaWe lazima utakuwa mjaluoo
hata wapikaji ni hao hao...wakishirikiana kwa karibu na wanaume kwenye sekta ndafu,kuchoma nyama n.kKuna mtaji money na mtaji ujuZi
Hawapiki wao huwa wanaajili wataalam wa hayo mambo,mambo yana wenyewe hayo ,suala la mchaga na mapishi wapi na wapi
Mkuu kwani we ni mchaga?Wachaga wapi unazungumzia mkuu...hembu zunguka kweye bar 10 zinazopendwa kwa ajili ya misosi uwaulize wale wanaopika ni kabila gani utapata majibu
Hapana mkuu..mim mtani wao,mpareMkuu kwani we ni mchaga?
Wanawake vipi...Hapana mkuu..mim mtani wao,mpare
Ila kila jiko naloona kweye bar bar hizi nawakuta wao ndio wapishi..wanaume lakin
HahahaaYeye mwenyewe ni dada....
Wanawake akili zao wanazijua vizuri wenyewe. Hawapendani afu kutwa wanaimba wanawake na maendeleo.
Hahaha uchagan si upande wa mama sasa namkataa je mzee?[emoji41]Wanawake vipi...
Kaka mbona unajikataa eti
Sawa mtaniHahaha uchagan si upande wa mama sasa namkataa je mzee?[emoji41]
Wanawake niliokutana nao mim wanajua sana labda kama wanidanganya kabila