Wadada wa kichaga na upishi

Status
Not open for further replies.
wadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
haya maneno unaongea toka moyoni kweli???

hivi kuna mwanamke wa kabila lingine utakaomfananisha na mwanamke wa kichaga katika kutafuta pesa???
 
Kila siku mchaga ! Ahaa! mti wenye matunda ndio hupigwa mawe ulishaona wapu mchaga kaoa lijitu linawaza kitandani tuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…