Wadada wa kichaga na upishi

Wadada wa kichaga na upishi

Status
Not open for further replies.
wadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
haya maneno unaongea toka moyoni kweli???

hivi kuna mwanamke wa kabila lingine utakaomfananisha na mwanamke wa kichaga katika kutafuta pesa???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom