Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enzi za ubachela nishamkaribishaga manka mmoja gheto...alinikaangia sato kwa style ya pekee, samaki aliiva upande mmoja.
Hatuzungumzii mjanja hapa mkuu,tunazungumzia uwezo wa Hawa ndugu zetu kupika chapati ama maandazi.....Sasa nani mjanja hapo. Mwajiri au mwajiriwa? Kama anaweza kuajiri mpishi wa kizigua kwanini ateseke kuunguzwa na mafuta?
Mm sjui....ila baba aliniambia tu nikitaka kuoa nisioe mchaga....hakunipa sababu mpk Leo sjui n kwann
Haahaa wenzako wote wanacomment kiustaarabu tu sasa wewe sijui matusi ya nini, unafaidika nini ukiwa unatukana hivyo et.....Ulitaka nikutolee mbegu? Una yai?
Ni kabila gani bora kabisa lenye skills nzuri za maendeleo hapa Tanzania kama si Wachagga?wadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
mpuuzi wewe,unashindwa kuchangia kwa hoja bila kuonyesha kende zako hadharani......,huo utafiti uliufanyia wapi,...tatizo exposure huna!Ni kabila gani bora kabisa lenye skills nzuri za maendeleo hapa Tanzania kama si Wachagga?
Stupid!
Wachaga hawajui kupika ni kweli labda.. Lakini hayo mengine ni chuki zako binafsi.. Biashara ikiwa na mchaga mafanikio ni nje nje[emoji23][emoji23][emoji23] et customer care.... Akat watu wote wanaendaga maduka ya mangiwadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa