Wadada wa kichaga na upishi

Wadada wa kichaga na upishi

Status
Not open for further replies.
Sasa nani mjanja hapo. Mwajiri au mwajiriwa? Kama anaweza kuajiri mpishi wa kizigua kwanini ateseke kuunguzwa na mafuta?
Hatuzungumzii mjanja hapa mkuu,tunazungumzia uwezo wa Hawa ndugu zetu kupika chapati ama maandazi.....
 
Mm sjui....ila baba aliniambia tu nikitaka kuoa nisioe mchaga....hakunipa sababu mpk Leo sjui n kwann

Kwa sababu alimzalisha Mchagga na akashindwa kuhudumia mtoto. Kwa hiyo mtoto yupo uchaggani na anajulikana kwamba ni Mchagga.

Muulize vizuri akuambie alipo ndugu yako.

Halafu muambie...
 
Kusema za ukweli kabisa,mimi nawakubali sana wachaga kwenye mambo mengi,ila kwenye kupika wengi wao kuna wasumbua ila sio wote.
 
wadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
Wachaga hawajui kupika ni kweli labda.. Lakini hayo mengine ni chuki zako binafsi.. Biashara ikiwa na mchaga mafanikio ni nje nje[emoji23][emoji23][emoji23] et customer care.... Akat watu wote wanaendaga maduka ya mangi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom