Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Watachaji nini, kwani title ya "mtume" Ni maalumu kwa mtume mmoja wakati cheo hiko kinahodhiwa na watu wengi, mpaka kina MwamposyaWakija wamechaji kuwa umekashifu mimi simo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watachaji nini, kwani title ya "mtume" Ni maalumu kwa mtume mmoja wakati cheo hiko kinahodhiwa na watu wengi, mpaka kina MwamposyaWakija wamechaji kuwa umekashifu mimi simo
🤣🤣Daaah ifikie tuu mahala wadada/wamama tuendelee na shughuli zetu hawa wanaume wana sehemu nyingi za kuchepukia huwezi kuwalinda abadani....
Selemani tatizo ni mibange na mishisha ila ni kijana mdogo29 wewe ni mtu mzima sana.
Ndicho huwa Ninacho fanya Kaka, Sina haha ya kuoshwa kichwaSasa umeenda kunyoa ukijua fika kuna wanawake hapo kwa ajili ya biashara, kwanini lisiwe tatizo lako na sio lao?
Kama naamua kwenda kunyoa naenda kunyoa akimaliza akisema kaoshe naondoka tu sipendi ujinga mimi
Kila sehemu unaenda kwa sababu zake
Mkuu watu wazima ni wajaluo na wahaya, sisi wakurya ni watu kamiliKijana wa makamo yupo kwenye kundi la mtu mzima. Hilo neno makamo haliondoi utu uzima wake. Katika maisha kuna watoto na watu wazima ila unaweza kujiambia chochote ili kujifariji kuwa bado ni mdogo ndo mambo ya umakamo yanaingia.
Sijakuelewa...
Hapo usiombe uwe na mke mwenye mdomo.
Toba!Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.
Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.
Sasa kusubiri black ikauke kuna zile pisi kali za kuosha nywele toto white flani rangi ya mtume yaani cream ebony delavida mnaelewa nafikiri zimekaa kitaalamu.
Nikaingia kwenye zile room sasa wakati naoshwa nywele wakaanza kutekenya masikio nikasikia hutaki massage 50,000 tu tunamaliza kila kitu.
Kwa kweli wanajua kupandisha ashki za mwanaume na ukiwa legelege unaacha mtaji, cha kushukuru niliacha simu nyumbani nilikuwa na 20k tu.
Kusema ukweli hawa watu ni hatari, wana njia zote za kuiba hela yako wakati wanakuosha wanakuwa wamevaa blouse no brazia kwahiyo mtindi unaona wote so hauwezi kutoka salama na wana lipa kwa simu, mastercard yaani wapo kitaalamu Sinza ni hatari nyie.
Selemani sele.
Kijana mstaarabu.
Hapana sipigi mtu niliyemwajiri. Heshima itashukaDuh 3 times/week.
Oya vip ww boss ujapiga?
Yaani wale watoto sijui wanatumia saikolojia ila duuh! Walikuwa wananikanda kiasi kwamba huwezi kuacha kwenda! Watoto huku nje nilikuwa nawaona kama wajinga tu! Ila nikizama zangu Mikocheni huko nakutana na watoto safi sana!Kilikukuta nn?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila hao usipokuwa na maamuzi ya kujidhibiti unafanya balaa zito kweli.
Salon moja niliingia. Sasa wakati naoshwa nywele yule dada alinifanyia makusudi kabisa!
Halafu alivyokuwa hana aibu akaniita mimi ni mchumba wake. Anafuta nywele zangu kwa taulo karibia na mabega ananibinya binya.
Nikajisemea moyoni aaah wapi hunipati!
Si mimi, anayetakiwa kupunguza hisia ni huyo dogo anayeshikwa sikio tu na kujikojolea.Punguza hisia
Uzee ni kuanzia miaka 75!Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.