Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

Nina kinyaa sana .. siwezi kula demu wa bar au sehemu Kama hizo hata afanyaje

Pia siwezi fanyiwa massage hata ya kichwa sijui

Saloon yangu Ni simple Sana unanyoa unajifuta nywele unaenda kuoga

Na ninapendeza nywele za asili napaka mafuta ya mgando hayo hayo napaka mwilini naomba kuwasilisha

Hivi unakulaje bar maid kwanza
Kaka kama kijana unabidi uwe appealing to the society wale wananyoa vizuri
 
Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.

Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.

Sasa kusubiri black ikauke kuna zile pisi kali za kuosha nywele toto white flani rangi ya mtume yaani cream ebony delavida mnaelewa nafikiri zimekaa kitaalamu.

Nikaingia kwenye zile room sasa wakati naoshwa nywele wakaanza kutekenya masikio nikasikia hutaki massage 50,000 tu tunamaliza kila kitu.

Kwa kweli wanajua kupandisha ashki za mwanaume na ukiwa legelege unaacha mtaji, cha kushukuru niliacha simu nyumbani nilikuwa na 20k tu.

Kusema ukweli hawa watu ni hatari, wana njia zote za kuiba hela yako wakati wanakuosha wanakuwa wamevaa blouse no brazia kwahiyo mtindi unaona wote so hauwezi kutoka salama na wana lipa kwa simu, mastercard yaani wapo kitaalamu Sinza ni hatari nyie.

Selemani sele.
Kijana mstaarabu.
Peleka Facebook.
 
Nije PM nikuelekeze barbershop yangu kuna demu huyo wa message nilimtoa Katesh kipindi cha maporomoko ya matope. Kuna vijana wanafanya massage mara tatu kwa wiki maana nimeweka bei elekezi. Hilo toto liko sex Marehemu Masogange anasubiri na anakitombesha balaa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Aisee. Kweli wewe ni funza dume. Nimecheka ulivyoelezea habari yako.
 
Nina kinyaa sana .. siwezi kula demu wa bar au sehemu Kama hizo hata afanyaje

Pia siwezi fanyiwa massage hata ya kichwa sijui

Saloon yangu Ni simple Sana unanyoa unajifuta nywele unaenda kuoga

Na ninapendeza nywele za asili napaka mafuta ya mgando hayo hayo napaka mwilini naomba kuwasilisha

Hivi unakulaje bar maid kwanza
Naunga mkono hoja

Unafalsafa kama za Malcom x, martin Luther king Jr, shehe ponda, john pambalu, juma duni haji, tundu lisu, khamis khalifani,

Naomba kuwasilisha
 
Hizi saluni ni bala zito
Ila hao usipokuwa na maamuzi ya kujidhibiti unafanya balaa zito kweli.

Salon moja niliingia. Sasa wakati naoshwa nywele yule dada alinifanyia makusudi kabisa!

Halafu alivyokuwa hana aibu akaniita mimi ni mchumba wake. Anafuta nywele zangu kwa taulo karibia na mabega ananibinya binya.

Nikajisemea moyoni aaah wapi hunipati!
 
Zamani nilikuwa na uraibu sana wa hizi mambo! Nikipata mshahara kwa kuwa nilikuwa bachela basi chap kwa sana naingia zangu mita fulani navuta manzi inanifanyia masage matata sana kisha naikula halafu narudi magetoni maisha yanaendelea ila kwa sasa nimeachana na mtindo huu! Sitaki kabsa kusikia kuhusu hawa wadada ni majanga matupu!
Kilikukuta nn?
 
Hatari kwa mahusiano/ ndoa za watu asee
cc Smart911
47d4e159f00a46af9dcc31b2a0fdcbfa.jpg

Hakika, hatari sana...
 
Nije PM nikuelekeze barbershop yangu kuna demu huyo wa message nilimtoa Katesh kipindi cha maporomoko ya matope. Kuna vijana wanafanya massage mara tatu kwa wiki maana nimeweka bei elekezi. Hilo toto liko sex Marehemu Masogange anasubiri na anakitombesha balaa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hahahaha kwahyo ulikwenda uokozi ukaamu kumleta barbershop Kuja kuuzuguawwatu

VIP ulimpima ukimwi?
 
Back
Top Bottom