Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

Mkuu
 
Hawa watu muhimu katika jamii zetu,wana stabilize ndoa nashangaa mpuuzi 1 Ubungo anawakamata usiku shenzy type
 
Mkuu naomba nisogee PM unifungulie code wiki ijayo nakuja Chuga ili nije kuleta feedback hapa JF
 
Nakazia hapo…. Sinza ina balaa nyie
Kila nikikutana na Demu wa Sinza katika majukum yangu ya kila siku basi anakua na UKIMWI ishafikia mahala diagnosis za Sinza nazicomform kwa utambulisho wao tu maana hata mionekano yao inarandana sanaaaaa.
 
Duuh nyabe nnjennje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…